Breaking News

HABARI PICHA; MAADHIMISHO YA SIKU YA RADIO DUNIANI YALIYOANDALIWA NA INTERNEWS NA MWANZA PRESS CLUB

Na Tonny Alphonce,Mwanza

Shirika la Internews na kwa kushirikiana na Mwanza Press Club wameendesha  kongamano lililowakutanisha Watangazaji na Waandishi wa Habari katika kuadhimisha Siku ya Radio Duniani ,maadhimisho haya yamefanyika mkoani Mwanza katika ukumbi Gold Crest.


Mtoa Mada Jimmy Luhende akiwapitisha Watangazaji na Waandishi wa habari katika kuangalia historia ya Radio Duniani na umuhimu wake.


Baadhi ya Waandishi wa habari wakifatilia mada katika maadhimisho ya Siku ya Radio Duniani yaliyofanyika leo tarehe 11/02/2022 katika ukumbi wa Gold Crest.


Baadhi ya Waandishi wa habari wakifatilia mada katika maadhimisho ya Siku ya Radio Duniani yaliyofanyika leo tarehe 11/02/2022 katika ukumbi wa Gold Crest.


Jimmy Luhende mmoja wa watoa mada katika kuadhimisha Siku ya Radio Duniani akiongea na Watangazaji na Wanahabari hawapo pichani.


Shaabani Mganga kutoka shirika la Internews akielezea shughuli zinazofanywa na shirika hilo katika kuhakikisha wanahabari wanafanikiwa katika kazi zao za kuhabarisha na kuburudisha.


Baadhi ya Waandishi wa habari wakifatilia mada katika maadhimisho ya Siku ya Radio Duniani yaliyofanyika leo tarehe 11/02/2022 katika ukumbi wa Gold Crest.No comments