Breaking News

PICHA: KIKAO CHA KUJENGEANA UWEZO TIMU YA PJT-MMMAM MWANZA CHAFANYIKA

Afisa Maendeleo ya Jamii mkoa wa Mwanza Janeth Shishila akiwakaribisha wajumbe wa Timu ya PJT-MMMAM katika kikao cha kujengeana uwezo kuelekea utekelezaji wa programm ya MMMAM mkoani Mwanza.

Mwenyekiti wa kikao Shilungu Ndaki RS MWANZA akiongoza kikao cha kujengeana uwezo kuelekea utekelezaji wa programm ya MMMAM mkoani Mwanza.Mratibu wa miradi ya elimu Bwana Peter Matyoko kutoka TAHEA akiwapitisha wajumbe kwenye maeneo muhimu ambayo Programm ya PJT-MMMAM itayafanyiakazi.


 


No comments