Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mhe. Francis Leonard Mtega amefariki dunia leo Julai 1,2023 kwa ajali ya kugongwa na Trekta (Power Tiller) shambani kwake Mbarali Mkoani Mbeya
MBUNGE WA MBARALI AFARIKI KWA KUGONGWA NA TREKTA
Reviewed by Video
on
Saturday, July 01, 2023
Rating: 5
No comments