Breaking News

HABARI PICHA ZA MATUKIO YA MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA

Mgeni rasmi ambae ni mkurugenzi wa idara ya habari maelezo  katikati akiwa na rais wa UTPC Deogratius Nsokolo na Mkurugenzi Mtendaji wa UTPC Kenneth Simbaya.

Mgeni rasmi Mobhare Matinyi ambae ni mkurugenzi wa idara ya habari maelezo  katikati akiwa na rais wa UTPC Deogratius Nsokolo na Mkurugenzi Mtendaji wa UTPC Kenneth Simbaya.

Mwenyekiti wa MPC Edwin Soko akibadilishana mawazo na katibu wa Dar City Press Club katika mkutano mkuu wa wanachama wa umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania uliofanyika katika ofisi za UTPC Leo tarehe 10 Disemba 2023.

 

Katibu wa MPC Mgongo Kaitira akiwa na baadi ya washiriki wa mkutano mkuu wa wanachama wa umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania uliofanyika katika ofisi za UTPC Leo tarehe 10 Disemba 2023.

Makamu wa rais wa UTPC Pendo Mwakyembe akitoa salamu kwa washiriki wa mkutano mkuu (hawapo pichani)

Mratibu wa MPC Laurencia Benard  na baadhi ya washiriki kutoka mkoani Mtwara na Geita wakiwa katika mkutano mkuu wa wanachama wa umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania uliofanyika katika ofisi za UTPC Leo tarehe 10 Disemba 2023.

 

Mweka hazina wa MPC Paulina David ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya UTPC akiwa na  baadhi ya wajumbe wa bodi ya UTPC wakiwa katika mkutano mkuu wa wanachama wa Umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania uliofanyika katika ofisi za UTPC Leo tarehe 10 disemba 2023.

 

Baadhi ya wanachama wa MPC  Frola Magabe na Rose Mwanga wakiwa katika mkutano mkuu wa wanachama wa umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania uliofanyika katika ofisi za UTPC Leo tarehe 10 Disemba 2023.

 

Baadhi ya viongozi wa Sekretariet ya UTPC wakiwa katika mkutano mkuu wa wanachama wa umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania uliofanyika katika ofisi za UTPC Leo tarehe 10 Disemba 2023.
 

No comments