Wimbo wa Injili : ROZAA - NASHUKURU
Huyu ni Mwimbaji wa nyimbo za injili anayejulikana kwa jina la Rozalia Magige au (ROZAA)
Na ni miongoni wa waimbaji mahiri na anaendelea kufanya vizuri,
Hizi ni baadhi ya nyimbo zake ambazo hakika zinafanya vizuri na zinabariki sana nakwambia hutajuta kuziangalia.
Usisahau Ku subscribe Kushare, Ku comment na Ku like🙏🏽
Share kwa marafiki bila kuchoka
Barikiwa sana🙏🏽
Rozaa - Nashukuru
Rozaa - Anajibu
Rozaa - Wa Thamani
Rozaa - Ni Ujumbe
No comments