MAONYESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI GEITA:VIONGOZI NA WANANCHI MBALIMBALI WATEMBELEA BANDA LA NBC TANZANIA.
Na Tonny Alphonce,Geita
Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Eng,Charles Kabeho akijaza kitabu cha wageni wanaotembelea banda la NBC TANZANIA mara baada ya kufika kwenye banda hilo kwaajili ya kupata elimu kuhusu huduma zinazotolewa na bank hiyo.
Mkuu wa wilaya ya Bukombe Mh Said Nkumba akiwa katika banda la NBC TANZANIA tayari kupata maelezo juu ya huduma zinazopatikana katika banda hilo.
Mh Nkumba na Eng Kabeho wakipewa maelezo na mfanyakazi wa NBC kuhusiana na ushiriki wa NBC TANZANIA katika maonyesho ya nne ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea mkoani Geita.
No comments