Breaking News

HABARI PICHA: OJADACT NA INTERNEWS WAWAKUTANISHA WAANDISHI WA HABARI NA ASASI ZA KIRAIA

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupinga Vita Matumizi ya Dawa za kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT) Edwin Soko akibadilishana mawazo na Agnes Kayuni Chief of Party kutoka Internews katika warsha ya siku mbili iliyolenga kuondoa pengo lililopo kati ya Waandishi wa habari na Asasi za kiraia.

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupinga Vita Matumizi ya Dawa za kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT) Edwin Soko kizungumzia sababu na OJADACT na INTERNEWS kuwakutanisha Waandishi wa habari na CSOs
Baadhi ya Waandishi wa habari na Viongozi wa Asasi za Kiraia wakijadiliana kuhusu pengo lililopokati yao.

Afisa Mawasiliano wa Shirika la Sauti ya Wanawake Ukerewe Lilian Ruguga akiwasilisha mawazo yaliyotolewa na kundi lake.

Agnes Kayuni Chief of Party kutoka Internews akizungumza na Waandishi wa Habari waliotaka kujua lengo la  hiyowarsha ya siku mbili iliyowakutanisha Waandishi wa habari na Asasi za kiraia.

No comments