Breaking News

RAIS SAMIA AMVUA UBALOZI DR SLAA

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Wilbroad Peter Slaa kuanzia tarehe 01, Septemba 2023. Dkt. Slaa aliteuliwa kuwa Balozi tarehe 23 Novemba 2017

No comments