Breaking News

Kikao kazi cha watendaji wa sekta ya afya ngazi ya Halmashauri na mkoa wa Simiyu juu ya udhibiti wa bidhaa za Tumbaku.

Habari Picha:Kikao kazi cha watendaji wa sekta ya afya ngazi ya Halmashauri na mkoa wa Simiyu juu ya udhibiti wa bidhaa za Tumbaku.

Washiriki wa Kikao kazi cha watendaji wa sekta ya afya ngazi ya Halmashauri na mkoa wa Simiyu juu ya udhibiti wa bidhaa za Tumbaku. Wakiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu tawala wa mkoa wa Simiyu Bi PRISCA KAYOMBO.


Picha ya pamoja Kati ya Katibu tawala mkoa wa Simiyu PRISCA KAYOMBO (wa tatu kuanzia) kushoto waliyo kaa pamoja na wawakilishi wa wafanyabiashara mkoa wa Simiyu Kikao kazi cha watendaji wa sekta ya afya ngazi ya Halmashauri na mkoa wa Simiyu juu ya udhibiti wa bidhaa za Tumbaku.


No comments